Alicho sema raisi Magufuli siku ya wanawake duniani March 8

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  katika siku ya wanawake duniani amefunguka na kuwapongeza wanawake wote wa Tanzania na kuwatakia heri katika siku yao.
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Rakuwaheshimuis Magufuli amesema wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana katika jamii na kusema daima ataendelea


 “Nawapongeza wanawake wote kwa kusherehekea siku yenu ya leo na hasa kwa mchango wenu mkubwa mnaoutoa kwa jamii. Daima tutaendelea kuwaheshimu, kuwapa ushirikiano na kutambua juhudi zenu katika kujenga ustawi wa jamii yetu” -Rais Magufuli 

Comments