Kaka kamtolea Dada yake “FIGO” Dsm, upasuaji wa kwanza Muhimbili



Pale ambapo dada mtu amesumbuliwa kwa mwaka mmoja na figo alafu kaka mtu akajitolea figo yake moja ili amuokoe Dada yake.
Baada ya kumshukuru Mungu kwa kufanikisha hili, ziko pande mbili za kupongeza hapa ambapo ya kwanza ni Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambayo imvunja rekodi na kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya upasuaji na kumuwekea Binadamu Figo.
Hii ni rekodi ya nguvu kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa sababu licha ya kuweka historia lakini pia itasaidia kuokoa mamilioni ya Watanzania waliokua wakisafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa Ini na kutumia sio chini ya Milioni 80

kwa habari mbalimbali endelea kufutilia smilemediatz

Comments

  1. Hard Rock Hotel & Casino Las Vegas, NV - MapYRO
    Hard 대구광역 출장샵 Rock Hotel & Casino Las Vegas, Nevada. MapYRO Hotels. Hotels 전라남도 출장안마 in Las Vegas, NV. Hotels 1 김해 출장마사지 - 10 의왕 출장샵 of 62 — Use this search to see places where hotels can be found in 용인 출장마사지 Las Vegas

    ReplyDelete

Post a Comment