Kituo kikubwa cha runinga duniani chatoa pongezi kwa Diamond Platnumz baada ya albam yake ya ''A boy from Tandale''

Kituo cha runinga cha kimataifa cha ‘BET ‘ kimetoa pongezi kwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz baada ya album yake mpya ya ‘A Boy From Tandale’ kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi kwenye mtandao was iTunes nchini Burkina Faso.


Kituo hicho kimetoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika |”Hongera Diamond Platnumz kwa kuingiza nyimbo tano zinazosikilizwa zaidi nchini Burkina Faso kwenye mtandao wa iTunes”.

kwa habari mbalimbali endelea kufutilia smilemediatz
pia usisahau kudondosha coment yako

Comments