- Get link
- X
- Other Apps
Kupitia ukurasa wa Twitter, Trump amesema iwapo Umoja wa Ulaya utataka kuongeza kodi ambayo tayari iko juu na kuziwekea vikwazo kampuni za Marekani zinazofanya biashara katika nchi za Umoja huo basi watayatoza kodi magari kutoka Umoja wa Ulaya yanaoingizwa Marekani.
- Get link
- X
- Other Apps

Comments
Post a Comment